Ni biashara nzuri sana kama ukiwa na pesa nying....Tbills ni za mda mfupi yanii kuanzia mwez 1na haizid mwaka 1..banks mbalimbali hata Bot hutangaz hizo na huweka coupons...kwa upand wa Bot wakitoa unatakiwa kuchez ni kama bahti nasib yanii unasema wew unataka interest ya kiasi gani..bt ili...
Habarini za asubuhi wapendwa.
Mim ni graduate wa chuo mwaka huu. Nimeamua kuwa mjasiriamali huku natafuta kazi pia. Nimeanzisha office ya printing na ninasom machn..
So nahitaji mtu wakufanya naye kazi kwa kutafuta na soko na kuprint..
Thanks in advance.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.