Recent content by shimmy sima

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye namba ya NECTA anisaidie

    ingia "necta.com" utazipata
  2. S

    JamiiForums Tanzania Admission letter Kampala University!

    within a short time wataweka ktk mtandao,so vumilia maana hakuna chuo ambacho tayari kimeshatoa joining.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Mda bado upo wapendwa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    kama unaboeka usiingie hapa. acheni kuongea kwakutumia utumbo.kama ni kero,ingia jukwaa la siasa. ukistajaabu ya tcu utayaona ya siasa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makavu live kwa mnaoenda vyuoni

    Jamaa yuko sahihi..anaonekana ni zaid ya std seven. nahisi wanaompinga wako schooled but not educated..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa na mpenzi wa ziada wakati wa uchumba

    Kama huna hofu ya Mungu reserve utaona inakufaa..Tumuogope alietuumba na tutambue kua uongo ni kosa la jinai kwake. Shetani na watu wake ndo huona sawa ktk mambo yasiyo sawa. Tuwe makini ktk kushauri,tutangulize hekima then ujinga ubaki nyuma. "RESERVE NI SHETANI" Kila mwenye reserve humfukuza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Joining instruction ya Marangu TTC

    Nenda NACTE, kisha andika jina la chuo na kwa mbele andika joining instructions
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbona binti yangu anaelewa vya nje ya darasani tu?

    Chukua vipande 5 vya karasi vyenye ukubwa wa wa ganda la jojo/wembe.Andika maneno tofauti ktk kila karatasi,mpatie na mpe wiki moja kukariri vitu maneno hayo.Itakusaidia kujua uwezo wake kushika mambo. Doctor Benn Carson alikua hivihivi,alibadilika darasani mara baada ya kuachishwa mazoea...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Jamaa kauliza swali, kama hakuna majibu kaeni kimya. Msitake kutafuta umaarufu kupitia swali lake.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Angalizo Kuhusu TCU Second Round Application

    Yaa,yupo njoo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa St Joseph University yametoka

    Uongo mkubwa,subirieni tar22
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

    Hilo jamaa ----- kuliko mabwege wote nilowahi kuwaona duniani.Uckute lina 4 ya HKL
  13. S

    JamiiForums Tanzania Angalizo Kuhusu TCU Second Round Application

    Kama umechoka kukaa kwenu,bac njoo kwetu
Back
Top Bottom