Jinsi nionavyo mimi, hali halisi ya ki usalama itakuwa ndogo hapo tunako fikia uchaguzi mkuu. Ingekuwa pana uwezekano, pande hizi mbili, Ukawa na CCM, wangekaa meza moja kabla ya uchaguzi wakakubaliana mapeema, waunde serikali ya mseto kwa makubaliano ya pamoja kuwa CCM itoe Rais wa nchi na...