Recent content by shilla de sam

  1. S

    Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?

    Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?
  2. S

    Naomba tujadili kuhusu Ada ya upimaji viwanja

    Habari Wadau wa JamiiForums, leo nawaletea hoja ambayo imekuwa changamoto hasa kwa wananchi kuhusu tozo ya upimaji wa ardhi katika maeneo mengi Tanzania. Kuna maeneo ambayo yamepimwa na Halmashauri na baada ya Halmashauri husika kushindwa kulipa fidia kwa Wananchi, Uamuzi ulitolewa wananchi...
  3. S

    Mazao ya kimkakati na changamoto za masoko na kitaasisi

    Habari Tanzania! Leo naomba nilete mada inayohusu changamoto zinazojitokeza katika Mazao ya Kimkakati yanayolimwa katika mikoa mbalimbali kama vile: Korosho, Chai, Kahawa, Alizeti, Mawese, Karanga, Nazi, Ufuta, Mkonge n.k Changamoto zinazokumba mazo haya ni za Kimasoko na Kitaasisi, sasa...
  4. S

    Umuhimu wa huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy)

    Ni muhi mu kuwepo kwa mkataba kati ya mtoa huduma na mteja kabla ya kutoa huduma hiyo, ili ikitokea wazo lako limeuzwa uweze kumshitaki mhusika
  5. S

    Umuhimu wa huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy)

    Kitaalam kuna hatua za kufuata katika utoaji wa huduma ya ushauri wa Kitaalam kwa wateja, kama mtu anajiita consultant na hafuati hatua hizo basi huyo hafai kuwa Mtoa Huduma. Lakini ni muhimu kujua kuwa Consultant ili atoe ushauri stahiki ni lazima ajue tatizo/changamoto inayomkumba client wake!
  6. S

    Umuhimu wa huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy)

    Sidhani kama gharama ni kubwa kiasi cha kuogopa, changamoto ni kwamba kulipia ushauri siyo utamaduni wetu watanzania!
  7. S

    Umuhimu wa huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy)

    Habari Tanzania! Umewahi kujiuliza ni kwa kiwango gani Ushauri wa Kitaalam (Consultancy) ni muhimu katika uanzishaji, endelezaji na kufanikisha shughuli zetu za Kibiashara, Miradi mbalimbali, Ujasiriamali, n.k? Pia, kwa kiasi gani watanzania tumekuwa tukipata ushauri toka kwa Wataalamu wetu...
  8. S

    Mambo ya kutathmini mwisho wa mwaka

    Naomba kujua kwa kipindi hichi cha mwisho wa Mwaka, ni mambo gani ya muhimu kujitathmini binafsi ili kujua ni kwa kiasi gani umefanikiwa katika malengo yako.
Back
Top Bottom