Recent content by shilla chiumbo

  1. S

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    huku tunakoelekea, nchi imeanza kuwa ya kutisha, si salama tena kujigamba kwamba hapa ni kitovu cha amani... Milipuko ilikuwa ni nadra kwetu kusikika, hatukuwa na mambo kama hayo kabisa.. I see!!
  2. S

    Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

    huyu ni mwanamuziki wa kikongo, aliyekujaga hapa Tanzania mwishoni mwa miaka ya 70, akaimbia band za Marquis, Safari Sound, Tuncat Almas, Zaita musica na akamalizia kuimba na kina King KiKi, Wazee Sugu.. kwa nyimbo nilizozitaja kuwa aliimbia, kwa mtu makini kabisa anayeujua muziki wetu, atajua...
  3. S

    Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

    Sauti yake unaipata kwenye nyimbo kama; ZIADA, MAMA KAJ, KIBWE MUTOMBO, SALZA, MARASHI YA PEMBA, SAMAHANI YA UONGO, MAJUTO, MOKILI, NTALE, NIMLILIE NANI, RAJAY, ANNE MARIE, MASHAKA, KOKOLAY, MARINELLA, KESI YA KHANGA, KITAMBAA CHEUPE NA NYINGINE NYINGI. Alikuwa ni maridadi katika kuimba na...
  4. S

    Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

    Aliniambia; Mwanangu, mimi naumwa, nilikuwa natembea kumbe ndani mwilini kumeharibika, nimeambiwa mafigo yangu yanashindwa kufanya kazi.. Nilivyoambiwa hivyo, nimekata tamaa kbs, nasubiri tu sasa.. Nina siku 3 sijisikii hamu ya kula kbs. Nilihuzunika sn lkn nilijikaza, nikamfariji na kumuomba...
  5. S

    Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

    Kabeya Kapumzike! Huyu alikuwa mwanamuziki machachari sana, alitamba na nyimbo zake Ziada, Majuto na Mama Kaji Pia aliuimba wimbo wa Kawelee Anne Marie kwa ustadi mkubwa akiwa na Tancut Almas! Huyu ni Mzee Sugu aliyemalizia ngwe yake kwa kuimbia Band ya La Capital Wazee Sugu.. Alipoanza...
Back
Top Bottom