Recent content by shilinde fby

  1. S

    Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    Pinda sio mtoto wamkulima ni msaliti wa wakulima kama alishindwa kuwatetea wakulima wa pamba wakauza kwa bei ya hasara atajiitaje mkulima? Sio mtoto wa masikini huyo!Kila la heri aendako Huko mtwara kwa mustakabali wa amani (uogawetu)!
  2. S

    MKAKATI WA CCM 2015: ADC kuikabili CUF, CHAUMMA kuikabili CHADEMA

    (Chadema or die)......CDM ni chama makini kinawatendaji wazuri wasio taka kufahamika hizi mbinu zitashindwa
  3. S

    CCM wamepanga hili - read

    Kazi ya chama tawala sio kuupinga upinzani serikali ya CCM kwakuwa na vijana wasio ona mbele na wazee walio filisika mawazo ndio hufikia hatua ya kuja na mikakati mfu kama hii wananchi wanakero nyingi ambazo wanatakiwa kuzitatua na kurudisha imani kwao leo wanabaki kutapatapa kaeni chini...
Back
Top Bottom