Recent content by Shibalanga

  1. Shibalanga

    Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

    Ukishastaafu kwisha habari yake! hakuna cha General wala babu yake na general
  2. Shibalanga

    Asante sana Bernard Kammilius Membe, Una kichwa kikali na ni mzalendo wa kweli

    This is literature diarrhea! eti Membe ni tofauti na Lowassa , hana kitu kingine zaidi ya uchu wa madaraka na kutopenda kuongozwa, kwanza hana haiba hiyo unayotaka kutuaminisha, binafsi naliona anguko kubwa la Membe kisiasa na hasa baada ya kutangwazwa matokeo ya urais, ndo hivyo ni kama kuku...
  3. Shibalanga

    GE2020 Kuna kila dalili za lolote kutokea katika Uchaguzi wa Mwaka huu

    Kwa mgeni wa siasa za Tanzania anaweza ukampa hizo bashiri au lamli zako lakini kwa mtu aliyeshuhudia chaguzi za Tanzania kuanzia mwaka 1995 baada ya vyama vingi yaani ni sawa na kusema ni mvinyo ule ule tofauti kifungashio tu, hakuna uchaguzi uliowahi kuwa mgumu kama wa mwaka 1995 kipindi...
  4. Shibalanga

    Yuko wapi mwanasiasa Kijana Steven Masele?

    We nae ni mmbeya tu! kwani ni lazima ujue kila mtu anafanya nini? utakuwa na kazi ya kufuatilia kila kiongozi kama hasikiki anafanya nini? sisi mbona tunamsikia kila mara akiunguruma huko bunge la Afrika au basi kama hujamsikia wewe basi ndo hasikiki? wacha mambo yako ingia google type Steven...
  5. Shibalanga

    Sheria Mpya ya Madini: Tuone kama wawekezaji wapya watakuja

    Wala sababu ulizotoa bado hazitoshi kuona ni mtazamo wa kipumbavu kwa aliyetoa maoni yake, sio lazima wachimbe kizazi hiki, leo watanzania hawana uwezo wa kuchimba lakini yanaweza kukaa hata miaka 50 ijayo watakuja kuchimba wajukuu zako.
  6. Shibalanga

    Sheria Mpya ya Madini: Tuone kama wawekezaji wapya watakuja

    Hata wasije kwani umeambiwa ni maembe hayo yataoza, yatakaa mpaka tutakopata uwezo wa kuchimba sisi wenyewe
  7. Shibalanga

    Upinzani wa kupinga kila kitu ni upinzani wa kishamba

    Mkuu, ulichokiandika ndicho hata mimi hukiona, kuna wakati mpaka najiuliza pengine inawezekana kabisa hii political liberalization kwa nchi za kiafrika ilipokelewa tofauti sana, haikueleweka kwa mazingira ya waafrika, mimi nachojua vyama vya upinzani hutoa sera mbadala, huwa ni serikali...
  8. Shibalanga

    Serikali kupitia Waziri Mwijage wamjibu Dangote: He is not aware with the pre existing laws!

    Be B Bepari siku zote dhamira yake namba moja ni kutengeneza faida kwa namna yoyote, kwahiyo kujilizaliza huwa ndiyo mbinu zao lakini wanatengeneza faida kubwa sana, inawezekana mwanzo walitathmini Tanzania kwa namna ya shamba la bibi hawakutegemea kabisa kama kungekuwa na ufuatiliaji wa...
  9. Shibalanga

    Tetesi: DC Malinyi amevuruga uchaguzi wetu UVCCM wilaya

    We naye unasumbuliwa na njaa, tunajua mchezo mzima mnaocheza na huyo mfadhili wako njaa mbaya sana, unapomhujumu mkuu wa wilaya kwa kuhongwa unadhani inakusaidia wewe? wenye akili tulishasoma mchezo siku nyingi, weka ushahidi hapa, lete source vinginevyo ni mwendelezo wa chuki, wivu na uzandiki...
  10. Shibalanga

    Kutosafiri nje ya nchi, Magufuli na maendeleo ya nchi

    Mkuu, sijui ni kwanini unaamini mafanikio yako kama nchi ni lazima utoke nje ya nchi yako, kutoka nje ni kuongezea tu lakini maendeleo ya nchi hii yataletwa na watanzania wenyewe, hebu tuchape kazi, tulipe kodi inavyostahili uone jinsi hatua ya maendeleo tutakayokuwa nayo, hiyo misaada...
  11. Shibalanga

    Kutosafiri nje ya nchi, Magufuli na maendeleo ya nchi

    Unafiki tu unawasumbua, sio nyie mliokuwa mnampigia kelele JK kwamba safari zake ni siku 365? Rais wa North Korea umemsikia nchi gani katembelea mbona ana maendeleo? fanyeni kazi ndo jambo la msingi, hata kama Rais atakwenda nje ya nchi jukumu la kuhudumia familia yako litabaki kwako wewe ni...
  12. Shibalanga

    Waziri Ndalichako: Serikali iweke vigezo, shule binafsi zianze kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano

    Binafsi siamini sana katika kulaumu peke yake ndiyo maana nimekuja na ushauri nini kifanyike ili kuondokana na changamoto hii, kulaumu tu sidhani kama ndiyo njiia pekee ya kuleta mabadiliko.
  13. Shibalanga

    Waziri Ndalichako: Serikali iweke vigezo, shule binafsi zianze kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano

    Mhe Waziri wa Elimu, sasa ufike wakati serikali ikashirikiana na sekta binafsi ipeleke wanafunzi wa kidato cha tano waliofaulu katika shule zao, ili kuendana na ongezeko kubwa la wanafunzi hasa katika kipindi hiki ambacho serikali imetoa fursa adhimu ya kusoma bure kuanzia kidato cha kwanza hadi...
  14. Shibalanga

    CHADEMA yajizatiti ngazi ya Uongozi katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini

    Hapa watatutakana, mapovu yatawatoka lakini hii si picha nzuri hasa wakati huu ambao CHADEMA wanapaswa kujibu tuhuma za ukanda ambazo zimekuwa zikitajwatajwa. Picha kama hii inatoa ushahidi dhidi ya tuhuma za muda mrefu. Hii ni coincidence ya namna gani?
  15. Shibalanga

    SWALI: Hivi wale wazungu wa Barrick Gold mine waliokwenda Ikulu walikuwa ni wanawake?

    Upuuzi kaabisa! kuna mambo mengi ya kujadili lakini sio upuuzi wako huo uliouleta humu, yaani kweli tujadili mwanamke au mwanaume kweli? mambo mengine ona aibu wewe ni mtoto wa kitanzania hukufundishwa kujadili dhihaka, hata kama huko ulikookoteza hiyo mada yako kama ni kweli, ulipaswa uwe na...
Back
Top Bottom