Recent content by ShesRise_1

  1. ShesRise_1

    Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

    Astghafirullah 😂😂🙌 Umeshaanza🍺
  2. ShesRise_1

    Mwanamke akimwaga maji wakati wa tendo hakikisha unamdai hela yako

    Mimi siji kukutana na mauza uza nauli zenyewe zipo juu😂😢
  3. ShesRise_1

    Mwanamke akimwaga maji wakati wa tendo hakikisha unamdai hela yako

    Kwanza huyo kuna mawili Kwa mjibu wake anasema ana kigorori na bado ni mwana chama wa chapta kwenda kumkagua ni kuchoma mafuta bureee😎
  4. ShesRise_1

    Mwanamke akimwaga maji wakati wa tendo hakikisha unamdai hela yako

    Alooo kidole gumba ni kikubwa mnoo😂🙌 sema kidole cha mwisho we acha tu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
  5. ShesRise_1

    Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

    Ni sahihi awake picha kwa faida ya member na wataalamu wajue kiwango cha maambukizi
  6. ShesRise_1

    Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

    MTOA MADA:Ulitumia dawa gani kupona fangasi za korodoni? Inamana hapa anawauliza wahawanga wenzie😂😂 sio wataalamu hapana Wale walioumwa huo ugonjwa kwenye kende🙌
  7. ShesRise_1

    Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Hii story imeniumiza jamani Watu tutaacha ujinga lini aisee Kijana asie na hatia ameumizwa Ameibiwa,huenda kaachiwa madeni maumivu ya kihisia😢🙌🙌🙌
  8. ShesRise_1

    Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Sio kwamba wenye vipisi wamepata kichaka cha kujificha 😎 Mtu atasema mi sikua hivi niikua na mzigo sema 2026 nikashikwa bega😂😂
  9. ShesRise_1

    Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

    Pole sana😢 Pona haraka uendelee na majukumu mengine 🤝
  10. ShesRise_1

    Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Aisee hizi imani hizi ni ujinga
  11. ShesRise_1

    Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Hivi kweli watu wanavaa hizo 😂
  12. ShesRise_1

    Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Sasa watu si wangeomba afunue wachungulie waone kama kweli hamna kwanini watu wanachukua hatua ya kudhuru mtu bila kujiridhisha
Back
Top Bottom