Recent content by Sheshelwa

  1. S

    Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Naomba ushauri Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 26. Naomba ushauri maana nahitaji gari na ni kwa mara ya kwanza kutamani kuwa na gari baada ya kupata kazi . Bajeti yangu ni m 5 wakuu ,je nitapata gari gani kwa bajeti hyo na gari yenye low fuel consumption? Mwendo wa kwenda na kurudi kazini ni...
  2. S

    Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Asante boss, Hila kwa sasa bajeti yangu ilkuwa hiyo kaka . Sina experience yoyote tofauti na kumaliza driving course veta mwezi huu, hivo nahtaji usafiri kwa bei hiyo boss. Pia yenye fuel consumption ndogo , nakubali kukosolewa kama nmekosea
  3. S

    Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Jaman naomba ushauri wakuu, Mimi mwajiriwa mpya natafuta gari ya kwendea kazini umbali wa km 15 kwenda kazini. Bajet niliyonayo ni m 5 nahitaji kutoka kwa MTU niko Arusha ni gari gani nayoweza Kuanza nayo? Nashukuru wakuu .
  4. S

    Naomba kujuzwa changamoto za gari ya Toyota Alphard na aina zake

    Mkuu Mimi ni mgeni ninaomba ushauri, Ndo nimeanza maisha nataka kununua Gari kwa mara ya kwanza na bajeti yangu ni m5 je ninawezaje kupata gari yenye matumizi madogo ya mafuta? Kazini ni km 30 kwenda na kurudi. Nina familia pia ya watu watatu nikiwepo Mimi .naomba ushauri wakuu. Ninakaa Arusha ...
  5. S

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Corolla Axio

    Wakuu Mimi ninahitaji kununua Gari lakini bajeti yangu ni milioni tano , ndo nimeanza maisha wakuu naomba msaada wenu nitapataje gari na ninunue gari gani. Umbali ninapofanyia kazi ni km 15 kwenda . Ushauri wenu ujumuishe gari yenye consumption ndogo ya mafuta. Niko arusha . Natanguliza shukrani...
  6. S

    Natafuta mume

    Du jamani hivi mwenye kuhitaji wa 27 amna [emoji16]
Back
Top Bottom