Recent content by Shervin

  1. Shervin

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

    Chanjo zinapingwa na zimekuwa zinapingwa na watu kibao Duniani. Kwanza hii rekodi iwekwe wazi. Na watu ambao wamekuwa wakiipiga Vita chanjo hawakujua hata Omicron itatokea. Fortunately or unfortunately wengine wamefariki hata kabla ya Delta achilia mbali Omicron.
  2. Shervin

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kujumuika nanyi

    Asante mkuu. Kila kilichopo humu kimenivutia.
  3. Shervin

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kujumuika nanyi

    Habarini wakuu. Mimi ndugu yenu leo nimeamua nami kujiunga nanyi. Asanteni saana.
Back
Top Bottom