Hakuna dalili zozote zinazoashiria kupata katiba mpya ambayo Watanzania wenyewe wamekuwa na hamu yakuwa nayo kwa kushiriki wenyewe katika kutoa maoni yao katika tume iliyoundwa na serikali (TUME YA WARIOBA) maoni ambayo kwa ujumla wake sasa hayaheshimiwi yanapuuzwa na watu wachache kwa maslah...
Tumekuwa katika muendelezo wa harakati darasa katika jimbo la Mlalo,Awamu hii tumejifunza mengi kwa kukutana na mazuri na machungu pamoja na changamoto nyingi ambazo kwa pamoja zimetufanya tuzidi kukomaa na kuongeza kasi,juhudi na maarifa ili kuhakikisha ukombozi wa kweli unapatikana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.