Inadepend na web unayoenda kuchukulia video.
Hii ni kwa ajili ya
YOU TUBE
Unachotakiwa kufanya ni kwamba.
1.Ingia kwny web ya youtube.
http://youtube.com
2. Search video unayoitaka. Then ukiipata click on that video.
3. Kwny page,ya kuwatch video. Ingia sehemu ya kuandika website. Utakuta...
>>>FOREVER BRIGHT TOOTHGEL<<<
-Hii ni dawa ya meno kutoka Forever living products. Ni bidhaa ambayo haina fluoride na ina mchanganyiko wa Aloe Vera gel na Bee propolis kwa asilimia 100%..
Ni bidhaa ambayo imetengenezwa na vitu halisi kama ALOE VERA NA BEE PROPOLIS.
Kwa kifupi...
Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta,pia ningependa kufahamu kwamba kabla ya kutumia Dawa hizo za meno kutoka Forever Living,
1.je ni dawa ipi uliyokuwa unatumia kabla?
2.Ni matatizo gani uliyokuwa nayo hapo nyuma kabla hujatumia bidhaa hiyo ya Forever. Mpaka yakakufanya utumie dawa hiyo?.
3...
Ndugu nakushauri utumie..FOREVER MULTI-MACA.
Historia yake fupi
Inatokana na mmea uitwao maca, au Lepidium Meyenii kutoka nchi ya Peru wenye historia ya miaka zaidi ya 2000 kwa kuongeza stamina ya mwili. Haina madhara na ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake. Wanawake wa Peru wanatumia...
Kweli ndugu ulitumia hyo dawa,usiwakatishe tamaa wanaotaka mafanikio. Je wanaopona wao ni mawe? Ni kitu cha kuweka akilini tu,labda inaweza kuwa hukufuata maelekezo juu ya matumizi ya dawa hiyo. Then wabongo huwa tuna tabia ya ku-test kitu. So nawaakikishieni kuwa mimi kama muwakilishi na...
Earn $2000/month via part time jobs. Easy form filling data entry jobsEarn $1500-2500 per month from home. No marketing / No MLM .We are offering a rare Job opportunity where you can earn working from home using your computer and the Internet part-time. Qualifications required are Typing on the...
Earn $2000/month via part time jobs. Easy form filling data entry jobs
Earn $1500-2500 per month from home. No marketing / No MLM .
We are offering a rare Job opportunity where you can earn working from home using your computer and the Internet part-time. Qualifications required are Typing...
Salama ndugu zangu,leo nawaletea habari nzuri inayohusu afya zetu sisi sote. Ni kwa kipindi kirefu nimeona watu waki-post matatizo yao huku bila kupata suluhisho la matatizo yao. Lakini leo nawahakikishia kuwa nipo nawe bega kwa bega kuhakikisha kuwa una pata suluhisho la tatizo lako. Lakini...
Ndugu,nimependa ku-post hii taarifa kutokana na kuwa mmoja wa mashuhuda wa jinsi dawa hii inavyotibu. Kwa kifupi usikate tamaa kwa ugonjwa ulionao,hakika kuwa na imani na dawa hizi kutoka FOREVER LIVING PRODUCTS, hakika utapona. Usifuate maneno ya watu,because hakuna anayependa mafanikio yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.