Kwa mahitaji ya kujengewa nyumba bora tafadhali nipe kazi ili upate nyumba bora na sio bora nyumba. Kwangu mimi ninajenga nyumba za wenye kipato cha chini cha kati na kipato cha juu. Uaminifu kwa kwa mteja wangu ndio silaha kubwa, ninapatikana dar ila nitakufikia popote pale, asante
Anayefahamu wimbo wenye maneno (nyie wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa tupendane ndio heshima ya ndoa) naomba anijulishe band iliyoimba na jina la wimbo wenyewe maana naupenda na nahitaji niuweke kwenye simu yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.