Recent content by shebentereal

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michepuko

    Bongo siwawezi! Eti kuna aina 3 za michepuko. 1. Mchepuko wa Lami: huu ni ule ambao hauombi pesa, upo njema unajua designer zote, katulia hana mapepe, uwe nae usiwe nae maisha yake yanaendelea. 2. Mchepuko wa Vumbi: huu ni ule ooh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, charge iko low...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Heshima mbele wakuu, Mimi ni mgeni katika haya majukwaa,nilikuwa naomba msaada wenu wa kupata listi ya shule zote za sekondari na maeneo zilizopo(nikimaanisha wilaya na mkoa) ntafurahi zaidi kama zitakuwa kwenye excell na discription ya kama ina umeme au haina,nimehangaika sana sana bila...
Back
Top Bottom