Daaaahhh kaka maisha siyo rahisi na wala siyo rafiki upande wetu hasa sisi vijana tuliotokea kwenye Familia masiki maana upatikanaji wa pesa ni mgumu na hiyo pesa utakayoipata haikidhi maitaji ya Familia zetu fursa za biashara zinaitaji mitaji mikubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.