Recent content by shayk d

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya private vyenye ada kubwa vyakomeshwa

    haohao unaowagonga ndio watakaokukejeli na kukucheka utakapodisco na hawatakuonea huruma.....funguka akili unaonekana bado mjinga sanaaa
  2. S

    JamiiForums Tanzania NACTE mnatuumiza jamani

    form six na Nina div 2.8
  3. S

    JamiiForums Tanzania NACTE mnatuumiza jamani

    majina waliyotoa saivi wameandika ndo final batch ndugu sasa sielewi
  4. S

    JamiiForums Tanzania NACTE mnatuumiza jamani

    jmni mm nimepata transfer juzi alhamisi na Jana ijumaa nimetoka kudeposit transfer fee nisubiri mda gani jina langu halijafika chuoni ndo nifuatilie???
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli TCU wametoa fourth batch ya majina ya transfer?

    asante...ila hiyo ni ya majina yaliyotoka jmosi mi naomba kuna ya majina yaliyotoka leo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli TCU wametoa fourth batch ya majina ya transfer?

    asante sana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli TCU wametoa fourth batch ya majina ya transfer?

    Naomba kuuliza ni kweli TCU wametoa majina ya transfer awamu ya NNE?? na kama ni kweli naomba link ya kuangalizia
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya private vyenye ada kubwa vyakomeshwa

    kwa Mfano mh PhX education 2.2m za nini haswa???
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya private vyenye ada kubwa vyakomeshwa

    hakuna cha resources wala nini ada ni kibwa jmni tumaini dar es salaam ada yao ni 2.2m tuition fee only imagine.... bado chuo hakina hostel serikali iangalie vizuri bora mwakani wasipewe kabisa hadi wakubali kupunguza ada.... wanatutesa sana hawa majamaa. halafu ety ndo chuo cha kkkt badala ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    mi mwenyewe nashangaa na kuvumilia kote kusubiri dah... nachoka sana. TCU toeni jamani kama mnatoa tujue tunafanya nini
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna rushwa TCU?

    jamani TCU this year wametenda watu.... pipoz are suffering coz of ishu ya Vyuo Mungu atusaidie tu. tuombeeni wadogo zenu kama mimi Nina point nzuri zaidi ya kumi but wananitesa tu
  12. S

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    TCU tuhurumieni jamani duu
  13. S

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    mi niambieni kama kuna mengine sakumi jmni nijue coz nimeangalia ya asubuhi sipo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Transfer

    kesho unamaanisha j5 sa10 au??
  15. S

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    naomba nijibu ety kuna majina mengine yatakayotoka sakumi?? nipo njiapanda jmni
Back
Top Bottom