Recent content by shay jr

  1. S

    Nahisi kila mtu ameanza kugundua kuwa Mungu hayupo

    😂😂Kutaja jina hakuthibitishi kitu kipo ni kumbukumbu ya wazo tu, si uhalisia. Mfano Nimetaja Superman je, sasa Superman anaishi kweli? Hapana, ni fikra tu kwenye akili ya binadamu. Vivyo hivyo, kutaja “Mungu” hakuonyeshi yupo kunathibitisha tu kwamba watu wana wazo la Mungu. Au nikisema mwana...
  2. S

    Nahisi kila mtu ameanza kugundua kuwa Mungu hayupo

    Kinachosikitisha wanasema Mungu yupo kila sehemu so alikuwepo hapo anaangalia hayo mauaji na alikuwa na uwezo wa kuzuia lakini kaa tu Binadamu tu wa kawaida akiwa na uwezo wa kuzuia hayo mauaji angezuia💔 Ujasiri wa kuamini Mungu mwenye Nguvu na upendo wote sijui wanatoa wapi🤦🏽‍♂️
  3. S

    MREJESHO: Nimetoka kufanya Operation ya Jicho/Makengeza CCBRT

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Doctors hawapewi maua yao zaid ya imaginary friend [emoji174] Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
  4. S

    MREJESHO: Nimetoka kufanya Operation ya Jicho/Makengeza CCBRT

    Dah![emoji17] Dr. Sonia hakuna aliyekupongeza naona kuna imaginary friend huku anapongezwa[emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
  5. S

    Msaada: Nahitaji Chandy Physics sofy copy

    Habari! Nashida[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] na chand physics softcopy wakubwa. New comer hapa wa advance level[emoji114][emoji114]
  6. S

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Dah! bado sijapata nilichotegemea
  7. S

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    but nahitaji kuacha kwan unadhan cjui mm young
  8. S

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Wakubwa poleni majukumu ya kila siku sababu ya kuleta huu uzi ni kuomba msaada namna ya kuacha kujichua Ni miaka 3 imepita toka niingie katka huu mchezo nimejtahd kuacha but simalizi hata mwezi anarudi tena ki ukweli imensababishia maisha yangu kuwa namaumivu ya mgongo,uchovu muda...
Back
Top Bottom