Tatizo la wachangiaji wengi ni jazba isiyo kifani kiasi cha kukosa hoja. Magufuli ni CCM tusitegemee hata siku moja akasifia CDM. Akiponda CDM yuko sahihi maana ndio kazi yake kama mwanachama wa CCM. CDM msitake kupokea sifa tu, hizi ni dalili za udikteta. Inaelekea mkipewa madaraka makubwa...
Hivi mtu huwa anapewaje ushehe. Al shabab wanaua watu hovyo na kuteka mali unasema wanalinda mipaka ya nchi. Wanalinda mipaka ya nchi gani, maana hata Somalia kwenyewe hawa jamaa wanaua watu tu. Mimi mbona simwelewi huyu Shehe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.