Shehe Ponda Issa Ponda ataka serikali isiingilie mambo ya Al-Shaabab

Hivi mtu huwa anapewaje ushehe. Al shabab wanaua watu hovyo na kuteka mali unasema wanalinda mipaka ya nchi. Wanalinda mipaka ya nchi gani, maana hata Somalia kwenyewe hawa jamaa wanaua watu tu. Mimi mbona simwelewi huyu Shehe.
 
Mimi humu wala sichangii ila ningependa kusikia maoni ya akina...FaizaFoxy,Mdondoaji,Topical, Malaria Sugu, Ritz ah bila kumsahau Ustaadhi Mkandara...!
 
Hali zenu wakuu na naomba ruhusa kuingia rasmi jamvini. Mimi pia namuunga mkono sheikh Ponda kwa sababu naona serikali yetu inataka kulitumia suala la Al-Shabab vibaya. Al-Shabab hawashambulii nchi isiyokuwa vitani na wao. Wao si wendawazimu wa kulipua watu ovyo.

Uganda ilishambuliwa kwa sababu ina askari wake Somalia. Kuhusu Kenya ni kama wamekurupuka kwenda vitani na Al-Shabab kwa sababu kama utekaji nyara kundi lolote hata la majambazi wa kawaida wanaweza kufanya.

Kwani wale wanaoteka meli mbona ni Wasomali wa kawaida tu. Ikumbukwe kuwa Al-Shabab ni kundi la upinzani Somalia na wana agenda yao kama ilivyo kwa makundi mengine ya upinzani hapa TZ tofauti ni njia za kufikia malengo yao. Wao wameamua kushika silaha baada ya kuona kuwa njia nyingine zimshindikana.

Kumbuka waliwahi kutawala kwa miezi sita mpaka Januari 2007 na Somalia ikawa ni nchi yenye amani. Lkn waliondolewa na majeshi ya Ethiopia kwa msaada wa Marekani. Kumbukeni kuwa Marekani ina ajenda yake Somalia na hizi nchi jirani zinatumiwa tu kama vibaraka. Wenyewe wanaita proxy war.
 
Kuna mtu aliwahi kusema humu kwamba tatizo la waisilamu nchini ni kukosa hirekia (hierarchy), kiasi kwamba kila sheikh anayejisikia anatoa tamko lake, tena kama vile ni la waisilamu wote. Hakuna asiyejua kuwa al-shabab ni magaidi. Ningempongeza kama angeionya serikali kutumia jina la al-shabab kuzuia shughuli na mikusanyiko, ila ameharibu pale aliposema al-shabab si magaidi
 
Hivi huyu ndiye yuleyule mzee wa Hijabu? Hivi ana elimu gani huyu? Kupinga kundi la kigaidi ni kudhalilisha uislamu?
 
Hoja yamsingi hapa ni serikali kuacha kutumia kitisho cha kusadikika eti alshabab wako TZ.
Tatizo la Ponda ni kuioanisha alshabab na uislam!
 
Hata wakristo waliuwa watu wakieneza dini yao crusade
Majibu: ktk uislam kuua si vibaya kama unamtetea allah au mtume! kwaufupi hata mtume wao aliua sana ktk kueneza uislam, the same spirit is working up today!
 
[h=2]25 NOVEMBER 2011[/h][h=3][/h]

Na David John

KAMATI ya Kutetea Haki za Waislamu nchini, imeihadharisha Serikali kutojihusisha na mambo ya kidini hasa yanayohusu kundi la Al-shaabab kwa shinikizo la mataifa
makubwa.

“Serikali iache kujiingiza katika migogoro na kundi hili, jambo la msingi ni kuimarisha ulinzi wa mipaka yetu si vinginevyo,” alisema Shekhe Ponda na kuongeza kuwa, si kweli kwamba kundi hilo ni la kigaidi kama alivyosema Bw. Nahodha bali kinachofanywa na kundi hilo ni kulinda mipaka ya nchi yao.

Alisema Bw. Nahodha hapaswi kuwaweka Watanzania katika hofu ya kuvamiwa na kushindwa kusafiri kwa shughuli mbalimbali ambazo ndioz huwapatia kipato na kukuza uchumi wao kutokana na taarifa za upotoshwaji dhidi ya kundi hilo.



Yes...Ponda uko sawa kabisa na mimi nakuunga mkono kwa msimamo na ujasiri ulouonesha.
 
Kama al shabaab ni waislamu safi na wanaungwa mkono na waislamu wa bongo, hiyo ni juu ya waislamu wenyewe maana wao ndo wanajijua na wanajua nani ni mwenzao...

Lakini hii ya serikali ya CCM kuwa inatisha watu kuwa al shabaab watashambulia maandamano inatakiwa ihojiwe na kila mwenye akili, hivi al shabaab washambulie bongo kuwa tumewafanya nini?

Na kama ni kweli kwanini waumini wanaofanya ibada zao ktk misikiti na makanisa makubwa hawajazuiwa kukutana ktk ibada zao?!
 
Hapa ndipo uislamu inapokuwa dini ya utata. Na Mungu wao kama Mungu wa kusadikika. Alshabab ni kundi la kigaidi au la kidini?

inategemea na definition yako nini maana ya ugaidi..?
 
Wafanyacho Al wababu hao ndiyo uislam haswa unavyo taka .Si mimi ambaye nasema haya ni Ponda anatueleza .Haya ubaya uko wapi ? Rais JK mwenzao , Makamu wa Rais , Mambo ya ndani naibu wake .Bora kasema Nahodha maana angalia mkristo na hasa mkatoliki ingalikuwa issue kubwa am sure .
 
Kama sera ya kujitoa muhanga ni moja wapo ya thawabu njema ndani ya hiyo dini, sishangai unapotetea tabia ya Alshabaab kuwa ni watu wazuri...AAAAGGHHHRRRR Watu wengine wanaudhiii..!!
 
Alichoongea Sheikh Ponda kina maana kubwa sana kwa siasa za Tanzania. Serikali inawatumia Al Shabaab kama excuse ya kupitisha agenda zao za kuzuia maandamano. Serikali inawatumia Al shabaab kama njia ya kuminya uhuru wa watanzania kwa kuwatisha. Serikali inawatumia Al Shabaab kama njia ya kuua uchumi wetu kwa kutisha watalii na wawekezaji kuja Tanzania bila serikali kujua.

Kwa maana hiyo Serikali inaonekana itakuwa tayari kuwadhuru watanzania either kwa kulipua sehemu ili kuonesha kuwa wao walichokuwa wanasema kina ukweli.

Tunataka tishio la Al shabaab lisiwe wimbo wa kubembelezea mwana Tanzania. Watanzania ni watu wenye hulka ya utulivu na kutopenda misukosuko, matamko kama haya ya viongozi wetu yanawaandaa watanzania kuwa watu wa kujiandaa na vurugu na uvunjifu wa amani.

Al Shabaab wana agenda yao huko Somalia, kama ni wauaji au magaidi hiyo suala la atakayewaona. Hata Gaddafi aliwaita NTC Magaidi, Al Qaeda. ANC iliitwa chama cha kigaidi na mandela akaitwa Gaidi. Tusiwe matarumbeta ya propaganda. Kazi ya serikali ni kuhakikisha mipaka yetu ipo salama na watanzania wanaishi vile watakavyo wao bila kuwa influenced na tukio lolote la kutoka nje.

Ponda ameongea kitu ambacho ni wachache wanaweza kuongea, whether ana sympathise na Al Shabaab hiyo inatokana na jinsi anavyowaona yeye, kikubwa ni kwamba haoneshi nia wana hana nia ya kumzuru mtanzania yeyote yule.

Naona hujamwelewa Ponda au una nia ya kufanya upotoshaji wa makusudi! Kuwapinga Al Shabaab (Magaidi) ni sawa na kuupinga Uislamu (Ugaidi)! As simple as that!
 
Hata wakristo waliuwa watu wakieneza dini yao crusade

Umeona Wakristo wakitoa matamko waki-support ugaidi kama anavyofanya Sheikh Ponda? Hii dini yenu ni laana tupu! Yaani Al Shabaab wanapoua watu wasio na hatia hatuoni matamko ya akina Sheikh Ponda ila wanapopingwa kwa kufanya unyama wao ndio tunasikia matamko!
 
Naona hujamwelewa Ponda au una nia ya kufanya upotoshaji wa makusudi! Kuwapinga Al Shabaab (Magaidi) ni sawa na kuupinga Uislamu (Ugaidi)! As simple as that!

Unawatofautishaje Waislam na Al shabaab na makutikio haya bila kuuweka uislam ndani yake?
 
Kama sera ya kujitoa muhanga ni moja wapo ya thawabu njema ndani ya hiyo dini, sishangai unapotetea tabia ya Alshabaab kuwa ni watu wazuri...AAAAGGHHHRRRR Watu wengine wanaudhiii..!!

Huogopi Fatwa wewe!Shauri yako!
 
Back
Top Bottom