Recent content by Shauri Moyo

  1. S

    Pinda aumbuliwa bungeni

    Niliisikia hii hoja jana bungeni kwenye Q&A sesion, imekuwa kawaida ya viongozi wa serikali kuomba ushahidi kutoka kwa mlalamikaji, hii ni tabia ya kukwepa majukumu na kutjiamini ktk utendaji, shahidi nyingi zimeshawasilishwa lakini matokeo hayatolewi. Mfano, Ushahidi wa Godbless Lema dhidi ya...
  2. S

    Membe Alikoroga CCM, kauli yake ya CHADEMA kushika dola yamponza

    Siasa ni jinsi unavyopanga karata zako. Membe ameangalia mbele akaona ni vyema akayasafisha mapito yake kisiasa. Ukweli ni kwamba sisi m wameshindwa kutekeleza ahadi zake kwa wananchi kwa zaidi ya miaka 50, lakini hawataki kusema ukweli.
Back
Top Bottom