Atubela
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 749
- 851
Sasa walitaka aseme uongo?
ccm ukisema ukweli unakuwa adui ndani ya chama. ccm wanachokiaminin zaidi ni uongo
Making a mountain out of nothing. He expressed his views to which he is entitled. His freedom of speech should be respected.
Kasema kama mwanademokrasia na anaamini demokrasia kwani mwenye nguvu ya hoja na zinazokubalika na wananchi ndo anachaguliwa.
Hongera Membe kwa ukomavu wa siasa ulionao.
Haya yote mnayayoyasema na kuyasifia, katumia demokrasia, kasoma alama za nyakati n.k n.k Yangesemwa na Mwana Chadema kama Shibuda. Mngeshabadili kauli hapa, Mnafiki, Msaliti...... n.k n.k kila la kheriAmeongea mambo ya msingi kabisa,na ametushauri vizuri kabisa, sasa nyinyiemu mjiandae sasa. Yan nap umenyamaza hadi muda huu! Kweli kuna watu hawagusiki kule nyinyiemu.