Du nilikuwa sijaiona hii.
Dr. Mtwangambate, G, mbona tulikubaliana pamoja ulipotaka ushauri akiwepo na Dr. Kileo kuwa tuwasiliane kwanza kabla ya kushusha haya mambo mazito bila uchunguzi wa kutosha? Jamii ina habari kamili yaana umeongea yaliyo ya kweli lakini kuna mengi ya uongo kabisa. Na...