Recent content by Shasya

  1. S

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto nitamtunza na kumpa mahitaji yote

    Habari wakuu, Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto nitamtunza na kumpa mahitaji yote namanisha makuzi,kuvaa,malazi,chakula,na kumsomesha.Mwanamke ninaemuitaji awe anaishi Dar,Morogoro na Pwani. Pia awe na umri wa miaka 26-34,mweupe au maji yakunde.Dini Elimu,kabila sina ubaguzi navyo...
  2. S

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Habari Wakuu,naomba Kuuliza Shule Ya Sekondari Mbekanyira Ipo Lindi Sehemu Gani, Je Inafaulisha Vizuri? Asanteni Sana Kama Mtanielekeza.
  3. S

    Natafuta mke wa kuoa aliopo Dar au Pwani tu

    Mimi ni mwanaume rijali natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, asiwe amewahi kuolewa, asitumie kilevi chochote, asiwe na mtoto, umri wake 20-32, mvumlivu na mpole. Elimu shahada ya kwanza na kuendelea mwenye kujua nini maana ya kupenda, umri wangu ni miaka 27 sija ajiriwa najitolea katika...
  4. S

    Natafuta mke wa kuoa 2015

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29,elimu ni chuo kikuu,ni mwembamba kiasi ni mfupi kiasi alafu ni mweusi. nimtakae awe na umri wa miaka 20-27,elimu yake awe na masters,mweupe,asiwe mrefu,wala ubonge sana.Awe anaishi Dar es salaam,Pwani au Morogoro. Aliye Tayari Ani Pm kwa mawasiliano zaidi.
  5. S

    Natafuta mke wakuoa nitakayekuwa namsikiliza na kumtii

    Mimi ni mwanaume halisi natafuta mke wa kuoa mwenye kazi yake,nitamheshimu nakutii kwa chochote atakacho nitafanya.Ila akubali kunitafutia kazi kwani sija ajiriwa bado.Nitashukuru sana sina ubaguzi wa rangi Dini wala Kabila. Karibu tuanze maisha kama upo serious, naomba uni Pm pia acha mawasiliano.
  6. S

    Natafuta mke mvumilivu na mwelewa ambae yupo tayari kuolewa

    Habari wakuu. Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa anayejua nini maana ya kupenda,kwa sasa sina kazi awe tayari kushirikiana nami kutafuta kazi,akiwa na utayari tuishi mume na mke awe na umri 27-38,elimu chuo na awe mjasiriamali au kuajiriwa,sina ubaguzi wa dini,rangi wala kabila. Kama upo...
  7. S

    Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Ni Pm Kama Bado Hujampata
  8. S

    Iam Tanzanian Man Looking a Woman to marry

    Iam a Graduated Man Aged 27-30yrs,I Live at Dsm,christian,I Do not have achild,iam not Drunker man Of Alcohol And Smoker,already Being Employed.A Women I Want amiability,white Brown,honest,true Love,aged 24-31,any religion education dploma-masters,tribe,none Smoker And Drunker Of Alcoholic you...
Back
Top Bottom