Recent content by sharp mind

  1. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Wanaopita kwenye barabara za mwendokasi chomoeni tairi za magari yao muuze

    Mukiambiwa uthibitisho mutatoÀ????
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nusu ya walimu wanalipwa mishahara ya bure, hawafundishi

    Sawa mie sibishi ila fatilia ata walimu wa daresalam sana sana shule za kata na wao hawaingii madarasani kufundisha kwa nini?na wengine wana magari yao kabisa wanaendesha..mwanangu yupo shule ya msingi apa dar kwa siku wakisoma sana ni subject mbiri sasa jameni maisha magumu kwa walimutu na tena...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Dar mwenye asili ya Somalia, Mohamed A. Nur atangaza kugombea urais Somalia

    Izo inchi sio somalia..waulize wakenya hao majamaa hawana jema man!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Ikifikia apo itakua vizuri sana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimetishwa, kushitushwa na kuogopeshwa na kauli hii ya Rais Magufuli. Alimaanisha nini?

    Umeshituka,kuogopeshwa,labda kwa vile kwenu uliko sukari una nunua kwa kilo elfu moja...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hamjahoji uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa?

    Sipo sasa,apa nipo jf..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hamjahoji uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa?

    Mimi sio sheria,kama unakuja na madai uje na evidence pia,you can't ask me who is magu when here at jf everyone calls him that!check kwenye text zingine ulizo quote and uwaulize the same!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hamjahoji uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa?

    Zilipigwa bei ya chini na wakina nani walinunua?alfu una evidence gani magu alihusika?maana kama mimi sielewi kama h akuna evidence.. ..sasa kama amna evidence nikama story ya mtaani ndio maana inavumaa alfu tunaachana nayo tunasonga ..
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mch. Peter Msigwa, kwa Mahojiano ya ITV jana umechemka sana

    una maana izo hela za sherehe uwa zinapita kwanza bungeni na wanazibariki wa bunge kwa sherehe?basi wabunge wetu hawafai!magufuli ni jembe
  10. S

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ampaisha tena Rais Magufuli

    Nimependa sana ..umeeleza ukweli u tapingwa maana macho wanao hawaoni,maskio wanao Íla hawasikii.kizazí cHa dot.com
  11. S

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ampaisha tena Rais Magufuli

    UmeonAaa eeeh
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa aandaa tafrija ya kupokea madawati 81 mkoani Tabora

    Kumbuka kwenye harambeÉ yao yakuchangasha madawati hao wote walitoa aÙ kuahidi michango yao,..sioni ajabu na kama walikunywatu maji...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Z. Kabwe, kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama Jijini Dar

    Hilo ndo la msingi na la maaana sio live bunge,watanzania tuamke..ata ukiona live hakusanyi maoni ya mtu mmojammoja
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wasomi wahoji ububu wa UKAWA bungeni

    Ili ueleweke umetumia neno sheria,sheria ila nimesoma between the lines hauna point...
Back
Top Bottom