Kuwa na Chancellor, VC, DVC ARC, Director HR, Bursar, Internal Auditor, Director Undergraduate Studies, Director Finance na kadha wa kadha Wakristo in maanisha UDSM ina udini?
"Kunya anye kuku akinya bata kaharisha"
Bwana Mohamed umejitahidi kuonyesha tatizo kwa mujibu wa tafiti zako ulizo fanya na watu wengi wamekuunga mkono. Sikatai kila mtu ana mawazo yake katika mambo lakini katika hili nawapinga wote walochangia. Tatizo kubwa la Waislamu wa Tanzania na dunia nzima kwa ujumla ni KUTOFUATA MAFUNDISHO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.