Kwanza fikiri unataka kufanya nini maishani mwako alafu nenda chuo ambacho kitakusaidoa kuongeza competency na confidence ya unachotaka kusomea huku mwenye uwe committed na jambo husika.
Ni kweli mkuu mtaji ni tatizo ila kupata washirika wenye commitment na confidence ni muhimu zaidi. Unaweza shirikiana na MTU bila kutoa chochote matokea yake akawa hayupo committed
TANZANIA SHARED BUSINESS (TSB)
BUSINESS PARTNERSHIP OPPORTUNITIES
Tanzania Shared Business (TSB) inatafuta washirika wa biashara katika kampuni ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza kwenye masoko ya mikoa ya Mtwara, Lindi na Dar es salaam.
Angalizo: Kuepuka utapeli na kuvunja sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.