Recent content by shantao

  1. S

    Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Haahhaha atakua alivificha aje avipitie
  2. S

    Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    🤣🤣 duuuh na baada ya kumchana hakusema chochote kaka
  3. S

    Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu. Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
  4. S

    Nakala ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    Habari zenu ndugu wana JF, nilikua naomba msaada wa yeyote anaeweza kunisaidia kupata nakala ya kitambulisho cha taifa
  5. S

    Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

    Hapana hauna shida kuiuza na mfumo wa gesi ni gharama zaidi maana kuuweka tu umenicost almost 2M na point zake .. nahisi nikiubakiza utanisumbua kwenye kuuza
  6. S

    Car4Sale Nauza Toyota Ractis namba EAS

    Yan we **** unaumia sana hata starlet Huna... ndo nyie ambao hamuendelei kwenye maisha sabab ya kitu kidogo kinaitwa ujuaji... just go *** ur self idiot mana naona unakila element za ushoga na me sigongagi machoko
  7. S

    Car4Sale Nauza Toyota Ractis namba EAS

    Sababu sio kila anaetaka anataka mfumo wa gesi naona itanichukua muda mrefu kuiuza.. lakin pia kuiuza na mfumo wa gesi ni gharama kuliko na mfumo wa mafuta pekee
  8. S

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Subaru xt bei mil 21 imported from Japan imetembea km 60k na ina mwaka na nusu tangu inunuliwe.. n ya 2008 na cc yake ni 1490.. colour ni black... Iyo ractis ni mil 14 yenyewe inatumia mfumo wa gesi ila ukitaka niweke bila gas nakubadilishia mfumo
  9. S

    Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

    Bei yake mil 14.. haina kipengele cha aina yoyote ile.. samahani kwa ubize na ukimya nipo na ibadilisha mfumo wa gesi na kuirudisha mfumo wa mafuta pekeyake
  10. S

    Car4Sale Nauza Toyota Ractis namba EAS

    Bei yake ni mil 14 haina kipengele chochote kile
  11. S

    Car4Sale Nauza Toyota Ractis namba EAS

    Sorry kidogo picha zake zimechelewa sababu ya ubize nataka niibadilishe mfumo mana inatumia gesi nirudishe wa mafuta halafu nitapiga picha vizuri tusameheame jamani
Back
Top Bottom