Recent content by shanin

  1. S

    UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    It is sad the world works this way. Haki ya watu ina weza kupotezwa na kuburuzwa na Serekali bila chochote kufanyika kwa sababu power zote ziko kwa chama kimoja. Jawabu, jamani tuunge mkono viama vya upinzani kwa nguvu zote vipate nguvu ili ku balance power badala ya kudanganywa kila siku na CCM.
Back
Top Bottom