"E="Holoholo, post: 56600337, member: 709104"]
Achana na chuo, utapoteza pesa na muda baada ya chuo utarudi bila kitu home na ajira hupati. Jikite ktk fani.
" kwani wewe chuo umesoma hujasoma?
Habari viongozi na poleni na uchovu wa kazi, kama kichwa hapo juu kinavyosema kwahiyo ningependa kujua viongozi kati ya ATC na MUST ni wapi life yake ni cheap kuliko mwenzie?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.