SIKUJUA:sehemu ya tatu
Mwandishi:shamsi shabani
Ilipoishia.... Kabla sijamjibu ili bidi nijiulize... Sawa nitampeleka je ana nauli??? au wanafahamiana na hao madereva??? au ana ndugu huku??? lakini Kama ana ndugu huku siangenda huko na si kwangu ......
JIMWAGE NAYO SASA...
SIKUJUA:sehemu ya pili,
Mwandishi:shamsi shabani
********
Ilipoishia.....alikuwa ni msichana mrembo sana ila kutokana na hali niliyomkuta nayo usingeweza kulitambua hilo..basi kwakuwa nilijua nimpita njia mwenzangu tu kama Mimi..
Niliendelea kupiga hatua nikisogea ,lakini kabla...
Nilijikuta sina la kufanya katika wakati ule mgumu nikiwa mpweke
Kitandani macho yangu yakiangalia mwanga wa jua ulio penya katika tundu la paa lililochoka na kurusu mwanga kupita kila sehemu ya chumba kile kutokana na paa hilo kuwa na vidirisha vidogo ambavyo viliifanya chumba kuwa na Giza ata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.