Nashukuru sana uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kwa kunialika kama mgeni rasmi. Leo katika Matembezi ya Amani na wanafunzi wa vyuo kupinga dhana potofu kwa wanafunzi wa vyuo. Kundi letu lilikuwa pamoja na washiriki wa mashindano ya urembo ya Miss IFM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.