Wakutu wameshajichukulia kama kabila ila kiuhalisia wakutu ni Waluguru wa bondeni ambao ndio wametoa wazaramo. Wazaramo wengi wanalijua hilo kuwa asili yao ni ukutu, na wakutu nao wanalijua hilo kuwa asili yao ni Uluguru. Wakutukila kuhisi, ni kiluguru kikimaanisha wamedondokea bondeni. Na ndio...
Habari JamiiForums.
Naomba msaada, mimi ni mgeni katika kijiji fulani, wilayani Magu Mkoa wa Mwanza. Katika kijiji hiki kuna utaratibu kwa wageni wanaoingia kuishi kama wapangaji kulipa fedha za kiingilio kiasi cha shilingi elfu 36 ndipo usajiliwe ama ujiunge kama mwananzengo na utambulike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.