Recent content by Shaka-Zulu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Maskini wanalipa kodi ili Matajiri waendelee kuwa matajiri zaidi?

    Nice example of how the rich get richer. For the rich walking without shoes can be trendy while for the poor it is shameful! According to Bible: Matthew 25:29 New International Version 29" For whoever has will be given more, and they will have an abundance. Whoever does not have, even what...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Misingi ya kuishi vizuri na watu

    #20 - Inatakiwa iwe ukipungukiwa - punguza hapa na pale, kama tunavyofanya na mshahara
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa ndege katika picha mbalimbali

    Wanagombana au wanacheza Ngoma????
  4. S

    JamiiForums Tanzania Africa history made (Marejeo)

    The pyramids were under construction during the time of Moses, perhaps that's why they haven't been mentioned in the Old Testament. Watch the The Ten Commandments to see how Moses rescues his mother from being crushed under the massive stone being rolled towards a pyramid. I may be wrong!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    Hii ya kuvunja nib za kalamu baada ya hukumu ya kifo ni ujinga tu. Mwenye mamlaka ya kumtoa roho mtu ni Mungu tu, na kama roho ya mtu inathamani sana, basi wasitishe hii adhabu ya kifo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    Sasa kwa nini wasivune hiyo keratin kutoka kwa 'mawigi' ya wadada na waache wanyama waishi kwa amani???
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kusafisha jiji la Dar es Salaam

    Asante Kwa kutuletea shairi mujarab! Alichosema baba ni kweli. Leo hii tu nimesoma kuwa huko Kenya, mti mmoja wa Avacado huzalisha matunda yenye thamani kama $650 kwa mwaka. Avacado zinalindwa usiku na sungusungu!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

    'afu ona mambo yanavyobadilika na wakati!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    The reason why no human has climbed Mt Kailash is perhaps because of its religious significance. Quote from wikipedia: Mount Kailash is considered to be sacred in four religions: Hinduism, Bon (Tibetan religion), Buddhism, and Jainism. Tibetan Buddhists call it Kangri Rinpoche; 'Precious Snow...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    Raha sana, mmoja ikifeli ipo nyingine kama spea!!!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani naweza kujikinga na radi?

    Tafuta hifadhi pahali ambapo kuna jengo kubwa au ndani ya gari. Kukiwa na jumba ambalo lina kifaa cha kukinga dhidi ya radi, utakuwa salama zaidi. Usiwe katika maeneo ya wazi, au kwenye mlima ulio wazi. Iwapo utakosa pahala pa kujikinga mvua, punguza uwezekano wako wa kupigwa kwa kujikunyata...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    Asante sana mkuu, kutuelimisha na kutuburudisha. Ziletee TU, zinafurahisha!!!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    Nadhani alitumia maboksi ya kibiriti kudesign hii kitu!!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania John Mmbaga na hekima ya siri ya namba 40

    Some more facts about the number 40: 1. Forty is the only number in English which has its letters in alphabetical order. 2. Minus 40 degrees, or “40 below”, is the only temperature that is the same in both Fahrenheit and Celsius. 3. When the bubonic plague gripped Europe during the Middle...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

    Hapa nanuku Wikipedia: Majūs (Arabic: مجوس) or Magūs (Persian: مگوش) was originally a term meaning Zoroastrians (and specifically, Zoroastrian priests). It is also translated as "fire worshipper". Nikweli mamajusi walikuwa na elimu ya nyota (astrology) na ndio iliwapeleka kwa Yesu
Back
Top Bottom