nipo rufiji hapa lakini tatizo wa huku hawajafikira kabisa kilimo ,kwa utafiti niliofanya ni kwamba rufiji kuna joto sana kiasi kwamba mjasiriamali anatakiwa kutafuta soko ili kuepuka kuoza kwa kitunguu,pia mamba kandokando na mto kitu ambacho ni hatar kwa mjasiliamali pamoja na kwamba ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.