Wadau hivi ni kweli kuna organization iitwayo Doctor ambayo kwa mara ya kwanza head quarter ilikuwa Kigali Rwanda na hivi sasa wamehamishia Nairobi kenya?
Organization hii inadai kufanya kazi na CDC africa, katika nchi za Tanzania na Kenya kwa lengo la kutoa elimu juu ya ugonjwa wa Ebola. na...
Wale walio kuwa wanasubiri kuitwa kazini tume ya utumishi wa mahakama, haya majina yametoka, Je, mlichokitegemea ndicho mlichokipata? Haahahahaah najua wengi wetu ni majonzi matupu maana, mambo yamekuwa ni kinyume maana kwa mfano miye kwenye kundi/ jopo langu ni watu wanne tu ndiyo waliyo itwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.