Mimi nina miaka 23, napiga kazi za uashi. Sasa kuna muda narudi nyumbani nimechoka, sijaoga, nafika nipo tired kinoma, sijapika. Yaani inaniboa sana. Hata nikinunua vya kupika ili nikapike getto, nikifika labda kiberiti hamna, naamua kwenda kula mgahawani.
Hii hali imenichosha sana. Kuna muda...