vijana wakiwezeshwa mitaj mapinduzi ya viwanda yanawezekana lakini tatizo kubwa Tanzania ni uhakika wa umeme ili uwe na processing na manufacturing industries nyingi na ambazo zitatoa ajira nyingi na kufanya kuwe na economic development kwa jamii kwa ujumla inatakiwa tuwe na uwezo wa kuzalisha...
Ni mdada wa saloon hiyo ndo CV ya janeth rithe,baada ya kupata udiwan wa kunduchi kwa mgongo wa mdee anamalzia ghorofa lake na anamiliki daladala na gari mbili za kutembelea
cheap politics kikwete anazozitumia akiwa na nia ya kulikata jina la lowasa kwa kuwatumia wazee,wakijichanganya tu wanapoteza nchi kwa ukawa na hiyo itakua nafuu kuliko kuingiza kiongoz asiyekua na uwezo ,hivi ni chama gani kitakachomuondoa mtu ambaye amedhaminiwa na wanaccm karbu million ndani...
unazani kwa nini ni sasa ndo wanazungumza,hawa wazee waache kutumika na wawe wa kweli,watamke hadharani ni kina nan wasiotaka wachaguliwe,hivi ndugu zangu watanzania tutumie akili za kawaida kama mtu ana makosa kwanini asifunguliwe mashtaka huyu mzee warioba na butiku wameshikilia madaraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.