Recent content by shacque

  1. shacque

    WASICHANA:Kuna siri gani kati yenu NA MAMA ZETU?

    Mmmmh.....binafsi mamangu yuko different kidogooo....ni kweli kama nimechelewa kurudi hom ktk hali ya kawaida baba atanimind bt mama atanionea huruma na kunisema tu kidogo bt baba mmmh ntasemwa sanaaa.....tofauti ya mamangu hajawahi kujua natoka na boy gani.....maana nilishuhudia dadangu...
  2. shacque

    Kwa mfumo huu wadada nawanyoshea mikono

    Siku hz hakuna cha mwanaume wala mwanamke.....wote hawaaminiki tena boys ndo mmezidi ila dem akifanya ndo anaonekana sanaaa.....kiukweli I do hate this habit ya kusalitiana so much yan.....
Back
Top Bottom