Recent content by Shacks John

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Wilayani Rombo

    Usiku wa kuamkia leo hali ya hewa ilikuwa siyo nzuri kutokana na Radi kal zilizotawala masikioni mwa wakazi wa wilaya hiyo pamoja na giza nene lililotanda cha kushangaza hakuna mvua iliyonyesha tulichoambulia ni manyunyu tu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania hii ndio picha yangu kama nilivyohaidi kuiweka wik hii

    wap ww mchumba tena mrembo kabisa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nilionya kuhusu Zitto siku nyingi sana, hakuna aliyetaka kusikia

    uko vizuri sana big up xana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, mbowe, wanachama and the top management

    Pumbaf xana ina maana mnaleta mambo ya kizamani?? M2 akifanya kosa aadhibiwe.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zitto live radio clouds

    Mawasiliano yanazingua huku Arusha hatuwasikii vizuri.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Sio wa Muhimu Kiasi Hicho

    Acheni u ccm nyie ppo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Hatok m2 hapa!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je Babu Seya anayo nafasi nyingine hukumu yake kupitiwa tena?

    Kwa mungu yote yanawezekana pengne wanahofia kuwa wakiwaachia weng wataangamia xana xana walioshurutshwa kutoa hukumu ya kes batili.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Mi naamini ZITTO KABWE Bado ni jembe lets waite and see what next acheni kuchonga xaana.
Back
Top Bottom