Recent content by Shabra

  1. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nimeweka kwa tigo pesa toka saa 10 jion hadi sasa haijaingia kweny account halafu tigo pesa hela imeshatumwa
  2. S

    Natafuta Mwanamke wa kuoa

    Umri: awe kuanzia miaka 22 nakuendelea, asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote. Dini: awe muislamu Elimu: kuanzia kidato cha nne na kuendelea, Sio lazima awe anafanya kazi, Na akiwa ni mwajiriwa awe anafanya kazi mikoa ya Tanga,Kilimanjaro au Arusha Mimi nina miaka 30,Elimu-chuo...
  3. S

    Natafuta mke

    Asante kamanda, ila sijapata PM hadi sasa inamaana hawa akina dada humu wote wameolewa?
  4. S

    Natafuta mke

    Umri: awe kuanzia miaka 25 na kuendelea, na asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote. Dini: awe muislamu kwakua mimi pia ni muislamu Elimu: kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu, Sio lazima awe na Kazi Na akiwa ni mwajiriwa awe anafanya kazi mikoa ya Tanga,Kilimanjaro au Arusha Mimi...
Back
Top Bottom