Busara na elimu bado i nahitajika, heri ya busanda japo makao makuu wameibuka na upinzani, japo sijawa updated, inakuwaje Dar, jijini majimbo yote yalienda CCM?
Nawashauri viongozi wa juu wa upinzani wagombee ubunge 2010 ili kuimarisha nguvu ya upinzani bungeni. Tatizo kila mmoja anataka awe rais ndio maana tunakuwa na imani haba kwao. aungwe mkono mmoja, wengine wapandishe nguzo ya ubunge. Or else tutaona nao tamaa tupu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.