Recent content by shabani80

  1. shabani80

    Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

    Dar to dom bado
  2. shabani80

    Jafo: Viongozi acheni tabia ya kuinua mabega, jeuri na kiburi kwani sisi wote tutaonja mauti!

    Hakua mnyenyekev huyo alikua jeuli na kiburi kwa wananch wa kigoma
  3. shabani80

    GE2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

    Angalia kiwanda cha tumbaku morogoro kilikua kinazalisha ajira nyingi tu lakin sasa kipo wap sio labda tumbaku hailimwi tabora hapna wamiliki wa kiwanda wamefunga maana utitili wa kodi umeshinda
  4. shabani80

    Kilichomponza Magufuli: Hakuchukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa

    Mimi simp kura yangu magufuli kwa sababu sio mwenye huruma
  5. shabani80

    Kilichomponza Magufuli: Hakuchukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa

    Kiukweli meco hajali maisha ya watu watu wanao msapot ni wale wanao nufaika nae tena wachache sana Meko hana huruma kabsa wala utu we angalia kilichotokea bukoba watu wamepta majnga yy anajidai eti silet msaada wowote kwe huo ni ibinadam kwel hapan sio haki roho iliniuma san
  6. shabani80

    Lema aache kumtishia amani DPP

    Alichosema lema ni ukweli dpp yy ndio amaekua muamuzi wa mwisho yy ndie aamue kesi ipo au haipo au nikuachie huru baada ya kukaa magereza miaka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom