Ndio inaambukizwa na mbu Aina ya aedes ambao hubeba vimelea wadogo (microfillaliae) kutoka kwa muathirika mmoja na kumpa mtu mwingine specie zinazobebwa ni (wucherelia bancrofti, brugia malayi na brugia timori).
Haipungui kwa degree utapiga mi5 na internship 1na ada ya degree ukikosa mkopo au vyuo vya serikalini ni shida make ada ya private kwa maisha ya kawaida ni balaa
hii nakataa me naona kila kitu kinawezekana muhimu ni commitment me binafsi nilipata D hesabu na niliisoma PCB nikapata B ya bam ukishajua udhaifu Wako unatia efforts utafikia tu malengo yako na usikatishwe tamaa Ukipata nafasi ya kusoma PCB Pambana ya ela yote utatoboa inshallah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.