Recent content by Shaban Ramadhani

  1. S

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Dah! Nimesoma habari hii pamoja na kwamba mi huwa mgumu wa kulia lakini machozi yamenitoka. Inauma sana, inasikitisha sana na inatia hasira sana. Ni ngumu kuamini kama askari wetu wamefanya mauaji ya kinyama kiasi hicho. Nchi za wenzetu askari anapigwa picha huku askari akiwa ameweka mtutu wake...
  2. S

    Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

    Maandamano ni haki halali. Andamaneni kwa amani huku mkilenga kufikisha ujumbe kusudiwa. KILA LA KHERI WANAHABARI!
Back
Top Bottom