Recent content by Shaban Dede

  1. Shaban Dede

    Watanzania tulio nje ya nchi

    Sawa mkuu. KLM wamenipigia leo kunifahamisha wamesogeza mbele hadi tarehe 23 October. Hivyo natumai ntawahi kupiga kura. Sijajua kama ntawahi hadi Dodoma maana ndo nilijiandikishia huko. :glasses-nerdy:
  2. Shaban Dede

    Kingunge kukutana na Wanahabari kesho saa 5 asubuhi Serena Hotel kujibu Mapigo

    Mara baada ya kutangaza msimamo wake juu ya uteuzi wa wagombea Urais pale Dodoma baraza la UVCCM ilmvua Kingunge nyadhifa zake zote ndani ya umoja Huo. Kutokana na hali hiyo Kingunge atatoa ya moyoni kesho saa 5 asubuhi Serena hotel. Watu wake wa karibu wanasema anaweza kuhamia UKAWA ili...
  3. Shaban Dede

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Wadau, wanaMwanza wameonyesha furaha na hisia zao dhidi ya mzee Edo kwa kugoma kurudi makwao na kuilzunguka jengo la Ryan Bay Hitel hadi mda Huu. God is great the police force are there with them
  4. Shaban Dede

    Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

    Waziri mkuu wa zamani amejitioa CCM rasmi kuanzia Leo. Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi w courtyard jijini hapa anasema amechoshwa na democrasia uchwara ndani ya CCM.
  5. Shaban Dede

    Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Wanajanvi, ZZK kweli ni msanii. Leo amefumwa Double Tree Hotel akiwa na watajwa hapo juu wakionekana kuchanganyikiwa na kujadili hali ilivyongumu kwao mwaka huu 2015. Je, huyu ZZK akiitwa msaliti ni kosa? Nielekezeni niweke pic hapa
  6. Shaban Dede

    Jinsi meno ya Tembo yalivyopitishwa JNIA

    Kwa ufupiMeno hayo ya tembo yenye thamani ya zaidi ya Sh826 milioni, yanaelezwa kupitishwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kabla ya kukamatwa Uwanja wa Ndege wa Zurich, nchini Uswisi. Dar es Salaam. Ilikuwa kama sinema. Inasemekana kwamba ilichukua takribani dakika 10 kati...
  7. Shaban Dede

    Jinsi meno ya Tembo yalivyopitishwa JNIA

    Kwa ufupi Meno hayo ya tembo yenye thamani ya zaidi ya Sh826 milioni, yanaelezwa kupitishwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kabla ya kukamatwa Uwanja wa Ndege wa Zurich, nchini Uswisi. Dar es Salaam. Ilikuwa kama sinema. Inasemekana kwamba ilichukua takribani dakika 10...
  8. Shaban Dede

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    kaka nawekaje picha kwenye profile yangu hapa?
  9. Shaban Dede

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Dah....bibi nae anataka mabadiliko?
  10. Shaban Dede

    Tukawepo Msasani na Mzee Kawawa. Lowasa hakuwepo!

    Mwl J. K. Nterere hakuwahi kumchafua ila aliwataja Lowasa, Baba Riz1 na Mkapa ndio wanauwezo wakuwa marais wa Tz. Mungu wasaidie waTZ watoke damu masikioni ili waisikie sauti ya mabadiliko
  11. Shaban Dede

    Tukawepo Msasani na Mzee Kawawa. Lowasa hakuwepo!

    Mzee Sam. Nani amekuroga? Unakumbuka mlivyokuja Marekani mwaka 1984 Mwalimu alivyozungumza na Watz Wananoishi hapa alisemaje? Lakini Pia tatizo la ufisadi la hapo Tanzania si mtu ni mfumo amabao uliasisiwa wakati wa kifo cha Azimio la Arusha. Niseme tu acha unafiki mzee mwenzangu hebu tuwaunge...
  12. Shaban Dede

    Dr. Slaa hatimaye aibuka

    Dr Slaa ni shuka UKAWA ni Blanket
  13. Shaban Dede

    NLD Mtwara 'waibipu' UKAWA

    Wadau nisaidieni ukweli huu. Gazeti la Uhuru limeandika Nwenyekiti wa NLD taifa Mh Emmanuel Makaidi amejitoa UKAWA, je kuna ukweli wa hili? Nisaidieni :peace: RIP CCM 2015 ================================= Chanzo: habarileo
Back
Top Bottom