Recent content by shaazy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada; kwa anayeijua dawa ya lishe na siyo unga wa lishe

    kwa yeyote anayeijua dawa lishe wapi naweza ipata kwa hapa dar anijuze tafadhali, siyo unga lishe tafadhali ni dawa lishe!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada; kampuni za G.I.S

    nnazo zijua nyingine umezi-mention hapo juu, kuna Geomatics pia. Nlisema nizijuazo hazizidi tano. Natumai umenielewa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada; kampuni za G.I.S

    nimesoma kama course mention basi hayo makampuni
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana waliositishiwa ajira na wanaosubiri ajira mpya waandamane

    umeona eeh! wanasemaga hivyo hivyo afu badae wanampa kura huyohuyo! wacha tuisome namba
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuchana vyeti!

    Ushauri unatosha sasa! wenye kampuni zenu mpeni kazi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada; kampuni za G.I.S

    wadau naombeni mwenye kujua mahali zilipo kampuni zinazojihusisha na G.I.S kwa hapa dar zilipo? nnazozijua hata 5 hazifiki hivyo naomba mwenye kuzijua mahali zilipo anitajie.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuchana vyeti!

    mmh! inaudhi na kukera kama mtu maisha yako uliwekeza sana kwenye elimu ili baadae ikulipe lakini expectation inakuwa siyo kabisa! ila amini ipo siku MWENYEZI MUNGU atasema yes!! amini hivyo
Back
Top Bottom