Pole sana dadaangu, mm mwenyewe nimepatwa na tatizo ilo ilo, sema mm nilipata mtoto mmoja na zaid ya miaka kumi saivi sijafanikiwa tena,nimehangaika spitali tofauti nikaambiwa cna matatatizo na mayai yapo vizuri Na nikaanza tiba mbadala sio kwa waganga bali ni wenye utaalamu wa mambo ya uzazi...
Mm iliwahi kunitokea nilikaa miezi miwibila kuingia kwenye period kitu ambacho ilikiwa nikawaida kuwa hivyo. Nikaumwa na tumbo cjawahi kuumwa. Nilipoenda spitali hawakunipima UPT. wakanipa tu dawa basi, damy ikaendelea kutoka kwa wiki mbili mbele, nilivorudi hospitali nyengine kunipima...
Mh pole sana dadaangu, ndo miti hani ya dunia. Ila kwa ushauri wa haraka uyo mume hakufai, na wala kama atarudi nakukidai unyumba nakuomba tu usimkubalie. Maana kwanza ana laana haiwezekani kutembea na ww kisha kuenda kumlala na mama yako mzazi.
Na ikiwezekana fanya mipango ya talaka. Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.