Recent content by sgs

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ampa kichapo Mrusi kwenye shindano la ngumi kule Rio

    Sawa kabisa, mfano Africa kusini ni nchi ambayo haileti dharau kabisa kwa nchi nyingine za africa ambazo hazina uwakilishi au kimichezo iko chini kabisa! na leo wamefanya vizuri sana tena kimya kimya ktk mchezo wa raga.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ampa kichapo Mrusi kwenye shindano la ngumi kule Rio

    Ha ha ha ha ndo wanaamini wako physically fit
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ampa kichapo Mrusi kwenye shindano la ngumi kule Rio

    Sisi hatujapeleka timu ya raga, sasa wewe unataka matokeo ya nini tena? Kama unahitaji kingine ruksa kuuliza
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ampa kichapo Mrusi kwenye shindano la ngumi kule Rio

    Walicheza pia na New zealand , walichezea kichapo balaa! Na hawa hawa ndo wanaburuza mkia ktk pool C
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ampa kichapo Mrusi kwenye shindano la ngumi kule Rio

    Tatizo wenzetu vihelehele mukichwa, kidogo tu promo nyingi hadi wanaboa
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ampa kichapo Mrusi kwenye shindano la ngumi kule Rio

    Badilisha kichwa cha habari iwe hivi, Mkenya apewa kichapo na Mcuba.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ampa kichapo Mrusi kwenye shindano la ngumi kule Rio

    Wakenya, vp tupeni matokeo ya timu yenu ya Laga kule Rio
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    Wameishiwa majengo, hivyo hawana vya kupost!....... Achana nao
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Impressive Joint KAF/US Airfoces Simulation Training

    APA
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    @ cyrillionares
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    Motochini endelea kuleta radha, achana na wabwabwataji lete vitu
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    We ni kilaza.......aka kihiyo
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    Kwa kweli najivunia kasi ya maendeleo ya nchi yangu kipenzi Tanzania, Dar es salaam ni noma! I real love those pics of Dar es salaam.
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al-Shabaab attacks Kapenguria Police Station, 6 Officers feared dead

    Askari wamefika kusaidia nini? Wakati tukio lisha tendeka
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia denies signing deal on construction of pipeline

    Wameumbuka sasa wanachofanya ni kujishaua tu,na matusi
Back
Top Bottom