Recent content by sewarijr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Toyota raum from Japan odometer 150000km

    halo guys,mimi ni mgeni humu JF nimenunua toyota raum from Japan ambayo ODOMETER inasoma 150000km.swali langu ni kilometer hizo haziwez kuniathiri katika matumizi ya gari langu hilo? je nunaweza kusafiri nayo mikoani bila tatizo lolote? Naomba ushauri wakuu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    kaka mshana jr mambo vp kaka,naomba msaada wako ndugu, nimenunua garitoyota raum ambayo odometer inasoma 150000km kuna tatizo hapo?vipi ninaweza kwenda nayo kwa safari za mikoani?
Back
Top Bottom