Recent content by sevyn

  1. S

    KERO Kutopata hostel chuo cha Arusha Technical College licha ya kulipia hostel mwaka mzima

    Chuo cha Arusha Tech kimekuwa kero kwa baadhi ya wanafunzi ambao licha ya kulipia hostel mpaka leo hawajapata chumba, na wamekuwa wakiwazungusha wanafunzi ambao mpaka leo wanahangaika kupata chumba, unaweza ambiwa msubiri matron akupangie chumba ila ukakaa mpaka jioni bila mafanikio yoyote na...
Back
Top Bottom